BETI NASI UTAJIRIKE

HII NDIYO YANGA MPYA TUNAYOITAKA WAPINZANI LAZIMA WAJUTE


Mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania klabu ya Yanga imeamua kufanya mabadiliko ya kikweli baada ya kutangaza rasmi kuachana na wachezaji wake 14. Baadhi ya wachezaji hao wameondoka mara baada ya kumaliza mikataba yao huku wengine wakiondoshwa kwa kuvunjiwa mikataba yao.

Uongozi wa klabu ya Yanga wanataka kujenga timu imara itakayoshiriki michuano ya kimataifa pamoja na michuano ya ndani. Baadhi ya wachezaji waliomaliza mikataba ndani ya Yanga ni pamoja na David Molinga, Tshishimbi, Mrisho Ngassa,Jafarry Mohammed,Tariq Seif ,Andrew Vicente "Dante", Mohammed Banka "Mo Banka" . 

Wachezaji wanaotakiwa kuvunjiwa mikataba yao ni Ally Ally,Ally Mtoni "Sonso",Muharam Issa ,Erick Kabamba,Patrick Sibomana ,Erick Kabamba na Rafael Daudi.

Post a Comment

0 Comments