BETI NASI UTAJIRIKE

CHUMA KIPYA CHA BURKINAFASO KUTUA JANGWANI

Taarifa rasmi ni kuwa Klabu ya Yanga imekwisha malizana na nyota wa kimataifa.Taarifa zimethibitisha kumsajili nyota raia wa Burkinafaso Yacouba Sogne kwa mkataba wa miaka Miwili.Yacouba aliwahi kuitumikia Asante Kotoko na Medeama za Ghana
Mchezaji huyo aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba lakini dili lilishindikana ndipo wananchi wakawekeza zaidi nguvu zao na kumnasa nyota huyo wa kimataifa.
Wasifu wa Sogna.
Jina -Yacouba Sogna
Position- Mshambuliaji
Taifa- Burkina Faso
Klabu ya Mwanzo -Madeama ya Ghana
Klabu Mpya - Dar Young African
Mkataba - Miaka Miwili

Post a Comment

0 Comments