BETI NASI UTAJIRIKE

BAADA YA TUISILA NA TONOMBE YANGA WANASHUSHA MASHINE NYINGINE MBILI


Klabu ya Yanga imethibitisha ujio wa nyota wapya waliosajilwa Michael Sarpong na kiungo fundi kutoka Angola Carlinhos kuwa watatua mapema wiki ijayo tayari kwa kuitumikia timu hiyo
Sarpong anatua Yanga akiwa mchezaji huru msimu uliopita akiitumikia Rayon Sports wakati Carlinhos anatua kutoka klabu ya Interclube ya Angola
Nyota hao wanaungana na Yacouba Sogne, Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe kuwa nyota wapya wa kigeni waliotua Yanga dirisha hili la usajili
Idadi ya nyota wa kigeni wanakuwa nane ukiwajumuisha Farouk Shikhalo, Lamine Moro na Haruna Niyonzima

Post a Comment

0 Comments