BETI NASI UTAJIRIKE

TFF WAPIGILIA MSUMARI WA MOTO MCHEZO WA NUSU FAINALI FA


TFF wametoa majina ya marefa watano watakaochezesha mchezo wa nusu fainali kombe la FA kati ya Simba na Yanga utakaopigwa dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.TFF wamepanga mchezo huo utachezezwa na marefa watano wazoefu ili kuondoa utata kwenye mchezo huo.

Nini maoni yako kwa TFF kutumia marefa watano kwenye mchezo huo wa ligi kuu Tanzania Bara



Post a Comment

0 Comments