BETI NASI UTAJIRIKE

TFF KUMSHUGHULIKIA LUCY EYMAEL KIMATAIFA


Uongozi wa shirikisho la soka nchini TFF umesikitishwa na kauli za kibaguzi zilizotolewa na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga Lucy Eymael baada ya kuwaita mashabiki wa klabu hiyo Nyani kauli inayoashiria ubaguzi wa rangi.  

Kupitia barua ya wazi TFF wamesema watahakikisha Eymael anachukuliwa hatua za kinidhamu kuanzia nchini na kupeleka shuuri hilo mpaka FIFA ili kumwazibu zaidi kocha huyo aliyewasli nchini na kutwaa mikoba ya Mwinyi Zahera.


Post a Comment

0 Comments