BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YASHINDWA KUFUA DAFU MBELE YA NDANDA FC


Klabu ya Simba imeendelea na mchezo wake wa  34 ligi kuu Tanzania ikikaribishwa na Ndanda FC dimba la Nangwanda Sijaona.Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana na kuzifanya timu hizo kuondoka na pointi 1 kila mmoja.

Matokeo hayo yanaifanya Simba ibaki kileleni kwa pointi 80 mbele ya Azam FC wenye pointi 62. Ndanda wao wanabaki nafasi ya 17 wakiwa na pointi 36 kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza michezo 33

Matokeo ya Mechi mbalimbali za Ligi kuu


Post a Comment

0 Comments