BETI NASI UTAJIRIKE

JERRY MURO AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA 4G KUTOKA KWA SIMBA


Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro kwa mara ya kwanza ameipongeza klabu ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Simba mchezo wa nusu fainali FA . Jerry Muro amenukuliwa akisema 

"Simba imecheza mpira wa kiwango cha uchumi wa kati, hongereni sana Simba kwa mpira mzuri, hili nalo litapita tu ndugu zangu Yanga na maisha yanaendelea, bado matukio ni mengi likiwemo la uchaguzi mkuu" 

Msemaji huyo wa zamani ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Arumeru amewataka pia mashabiki wa soka nchini kuhamishia nguvu zao kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania  mwezi Oktoba na kuachana na suala la mpira kipind hiki.

Post a Comment

0 Comments