BETI NASI UTAJIRIKE

RASMI:LIVERPOOL WAKABIDHIWA KOMBE LA EPL


Klabu ya Liverpool imekabidhiwa rasmi kombe la EPL waliloshinda msimu wa 2019/20. Sherehe za kukabidhiwa kombe hilo zimefanywa jijini Liverpool kwenye uwanja wake wa nyumbani Anfield. Maelfu ya mashabiki wa timu hiyo walijitokeza nje ya uwanja kuungana na wachezaji kusherehekea ubingwa huo. Hizi ni baadhi ya picha za mashabiki na wachezaji wakisherehekea kombe hilo walilolikosa kwa miaka 30.

Post a Comment

0 Comments