Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union. Mchezo huu utapigwa dimba la mkwakwani majira ya saa 10 jioni hii leo.Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa Simba wakijifua kuelekea mchezo huo
0 Comments