BETI NASI UTAJIRIKE

PANAMA GIRLS YATIA AIBU ,SIMBA IKIPIGWA ,YANGA IKISHIKWA SHATI


Ligi kuu ya wanawake Serengeti Lite Womens Premier League  imeendele jumatatu kwa michezo 6 iliyopigwa viwanja mbalimbali. Klabu ya Panama Girls imeendelea kuongoza kwa vipigo baada ya kufungwa mabao 11-1 na Aliance Girls ya jijini Mwanza. Wiki chache zilizopita klabu hiyo ilifungwa mabao 10-0 na Simba Queens huku ikishika mkia kwenye msimamo wa ligi ikifungwa jumla ya mabao 76 kwenye mechi 14 ilizocheza.

Simba Queens imeambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa JKT Queens huku klabu ya Yanga Princess ikitoka sare ya mabao 2-2 na Mlandizi Queens. 

Haya hapa ni matokeo ya mechi zote 


Huu hapa msimamo wa ligi hiyo baada ya raundi ya 14Post a Comment

0 Comments