Klabu ya Yanga imekanusha taarifa za uongo zilizosambaa mitandaoni kuhusu kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa klabu hiyo Dr Mshindo Msolla .Klbu hiyo imetoa barua maalumu yenye kukanusha swala hilo. Sisi kama wadau wa soka tuanajiuliza ni nini hasa kinapelekea taarifa hizo za uongo kutungwa na kusambazwa? je ni nani anataka kumpindua mwenyekiti msola Hii hapa barua ya Yanga
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments