BETI NASI UTAJIRIKE

MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI ZILIZPIGWA JUMATANO TAREHE 08-07-2020


Ligi mbalimbali zimeendelea hapo jana barani ulaya huku matokeo yakiwa ya kufurahisha na maumivu kwa baadhi ya vilabu. Manchester City imeendeleza ubabe wake baada ya kushida mabao 5-0 dhidi ya Newcstle United huku Luis Suarez akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa tatu wa Barcelona mwenye mabao mengi ndani ya klabu hiyo

Haya hapa ni baadhi ya matokeo ya mechi mbalimbali zilizopigwa hapo jana 

Post a Comment

0 Comments