BETI NASI UTAJIRIKE

MANCHESTER UNITED NJIA NYEUPE MPAKA NAFASI YA TATU


Klabu ya Manchester United inahitaji kushindi mchezo wake muhimu siku ya leo dhidi ya Southhampton utakapigwa dimba la Old Trafford . Mchezo huu utapigwa majira ya saa nne usiku na Manchester United atalazimika kushinda ili kutwaa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.

Huu utakuwa mchezo wa 35 kwa Manchester United inayoshika nafasi ya 5 ikiwa na pointi 58 na kama watashinda mchezo huo basi watakuwa na pointi 61 wakiiondoa Chelsea yenye pointi 60 kwenye ligi hiyo bada ya michezo 35

Mchezo huo ni muhimu kwa Machester United kwani michezo mitatu iliyobaki ni migumu mno . Wtakutana na Chelsea kisha Leicester City na timu zote zinahitaji kumaliza nafasi nne za juu ili kucheza Ligi ya Mabingwa ulaya msimu wa 2020/21

Post a Comment

0 Comments