BETI NASI UTAJIRIKE

JESHI LA YANGA LIPO TAYARI KUISAMBARATISHA KAGER SUGAR


Wachezaji wa Yanga wameendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar mchezo utakaopigwa hii leo dimba la Kaitaba mkoani Kagera. Kiungo Issa Banka alijiunga na wachezaji wenzake hapo jana kwa ajili ya mchezo huo mgumu.

Banka aliwasili hapo jana kuziba pengo lililoachwa wazi na Niyonzima aliyepata majeraha ya mguu kwenye mchezo dhidi ya Biashara United. Inadaiwa Banka aliwasili mjii Bukoba baada ya kulipwa stahiki zake alizokuwa anawadai Yanga na kuna uwezekano akacheza mechi dhidi ya Simba tarehe 12 

Hizi ni baadhi ya Picha za mchezaji huyo akifanya mazoezi na wachezaji wenzake 


Post a Comment

0 Comments