Jeshi la Polisi Dar limethibitisha kumshikilia kwa muda staa wa Yanga, Bernard Morrison katika kituo kikuu cha Osterbay, Dar es salaa,
Mchezaji wa Yanga SC raia wa Ghana Bernard Morrison akamatwa na Polisi mchana wa leo Julai 30 na kupelekwa kituo cha Polisi Oysterbay na baadae kuachiwa.
Morrison alikamatwa baada ya askari wa doria kutaka kufanya ukaguzi wa gari lake lililokuwa limeegeshwa baada ya kusikia harufu lakini alikataa na kufikishwa kituo cha Polisi na baadae kuachiwa.Haijawekwa wazi ni harufu ya nini
0 Comments