Mechi za ligi mbalimbali zimeendelea hapo jana usiku huku tukiishuhudia Manchester United ikishindwa kuingia top 4 bada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Southhampton. Uhispania nako Real Madrid amezid kusogelea ubingwa wa La Liga baada yaushindi wa mabao 2-1 dhid ya Granada huku Italy Klabu ya Intermilan ikizidi kujiimarisha nafasi ya 2 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Torino. Haya hapa ni matokeo ya mechi mbalimbali Ulaya
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments