BETI NASI UTAJIRIKE

GIROUD AING'ARISHA TENA CHELSEA


Klabu ya Chelsea imeendelea kujiimarisha nafasi ya 3 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Norwich.Bao la Chelsea lilifungwa na mshambuliaji makini Olivier Giroud dakika ya 45 kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Ushindi huo unaifanya Chelsea kufikisha pointi 63 baada ya michezo 35 na kuibakiz klabu hiyo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu England. Mbali na ushindi huo lakini Chelsea wanakibarua kigumu Mbele ya Liverpool,Manchester United na Wolves ili kuweza kubaki nafasi nne za juu.

Post a Comment

0 Comments