BETI NASI UTAJIRIKE

RATIBA: MECHI ZINAZOPIGWA BARANI ULAYA LEO JUMATANO TAREHE 15-07-2020


Ligi mbalimbali zinaendelea hii leo barani Ulaya huku mchezo uaosubiriwa kwa hamu ni ule wa Arsenal dhidi ya Liverpool.Mchezo huo utaigwa dimba la Emirates majira ya saa 10:00 usiku. Arsenal anatakiwa kushind mchezo huo ili kujisogeza zaidi kwenye nafasi za kushiriki Europa msimu wa 2020/21 huku Liverpool wao wakiucheza mchezo huo kama kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa EPL kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30.

Hii ni ratiba ya mechi mbalimbali zitakazopigwa hii leo Post a Comment

0 Comments