BETI NASI UTAJIRIKE

MANARA ATIMBA BANDA LA YANGA NA KUSAINI JEZI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Azan Zungu ametembelea Banda la Timu ya wananchi

mbali na waziri huyo lakini pia baba wa Msemaji wa klabu ya Simba mzee Sunday manara aliwasili bandani hapo na kusaini baadhi ya jezi ikiwa ni kumbukumbu ya heshima kwa kuitumikia klabu hiyo miaka ya zamani kama mchezaji muadilifu ndanj ya Yanga
Post a Comment

0 Comments