BETI NASI UTAJIRIKE

TFF WAIPIGA TAFU ZFF KUMALIZIA LIGI YAO


Shirikisho la soka nchini TFF limetoa mchango kwa chama cha soka Zanzibar ZFF kuliwezesha shirikisho hilo kufanya malipo mbalimbali ili ligi hiyo iwezekukamilika. Kupitia barua rasmi ya TFF iliyotolewa na Bwana Cliford Ndimbo.

TFF hawajasema ni  kiasi gani wametoa ila wameeleza kiasi hicho kitatumika kulipa gharama za usafiri kwa timu mbalimbali pamoja na malipo kwa wachezeshaji wa mechi hizo.Post a Comment

0 Comments