Klabu ya Barcelona imezindua jezi a ugenini zitakazotumika msimu wa 2020/21. Ni wiki chache tangu klabu hiyo itangaze jezi za nyumbani zitakaovaliwa kwenye msimu huo mpya Jezi hizo nyeusi zitakuwa na maanishi ya Gold (dhahabu) na zinategemewa kufanya vyema sokoni .Lionel Messi akiwa na jezi ya Barcelona.
Hizi hapa jezi aina tatu zitakazotumiwa na Barcelona msimu wa 2020/21
0 Comments