BETI NASI UTAJIRIKE

ARSENAL YA SASA NI MOTO WA KUOTEA MBALI HAIGUSIKI


Tangu kurejea kwa ligi kuu Uingereza juni 19 Klabu ya Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali . Mchezo wa kwanza tangu kurejea kwa EPL Arsenal ilicheza na Manchester City na kuambulia kipigo cha mabao 3-0 pamoja na kile cha 2-1 kutoka kwa Brighton lakini tangu hapo imekuwa ikitoa vipigo kwa wapinzani wake.

Arsenal imecheza michezo mitatu ikifungwa miwili na kushinda mitatu na kuifanya timu hiyo kufikisha pointi 49 ikicheza michezo 33 na kutelemka kutoka nafasi ya 9 mpaka ya 7. Mchezo iliyocheza hao jana dhidi ya Wolves ulitoa majibu ya ubora wa timu hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Kwenye mchezo huo Bukayo Saka alikuwa wa kwanza kutikisa nyavu za Wolves dakika ya 43 ya mchezo huku Lacazzete  akitokea Sub akishindilia bao la pili dakika ya 86. 

Kikosi ch Arsenal kilianza na Martinez,Kolasinac,David Luiz,Mustafi,Cedric,XhakaCellabos,Tierney,Saka,Nketiah/Lacazzete naAubemayang 

Post a Comment

0 Comments