Klabu ya Arsenal imeendelea kufanya vibaya msimu huu baada ya kuruhusu kiigo cha 2-1 kutoka kwa Tottenham mchezo wa ligi kuu Uingereza EPL uiopigwa dimba la Tottenham Hotspurs Stadium. Arsenal walikuwa wakwanza kupata bao la kuongoza kupitia mshambuliaji wake Lacaazzete dakika ya 16 ya mchezo lakini Son Heung min alisawazisha bao hilo dakika 19 tu ya mchezo huo na kuifanya klabu hizo kwenda mapumziko zikiwa zimetoshana nguvu kwa kufungana mabao 1-1 Kipindi cha pilikilianza kwa kasi na kila timu kutaka kupata matokeo lakini Toby aliipa Tottenham bao la ushindi dakika 81 ya mchezo na kufanya mchezo huo kumalizika kwa Tottenham 2-1 Arsenal.Kwa matokeo hayo Tottenham anafikisha pointi 52 na kushuka mpaka nafasi ya 8 huu Arsenal akibaki nafasi ya 9 wakiwa na pointi 50 baada ya michezo 35.
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments