BETI NASI UTAJIRIKE

ZFF WATANGAZA TAREHE YA LIGI KUU ZANZIBAR KUREJEA


Chama Cha soka Zanzibar "Zanzibar Football Federation" kimetangaza tarehe rasmi ya ligi yao kurejea. Mechi za ligi zitachezwa kituo kimoja Cha Unguja na itaanza rasmi tarehe 24-06-2020.

Post a Comment

0 Comments