BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WAPEWA HESHIMA BUNGENI KUSHUHUDIA UPITISHWAJI BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/21


Klabu ya Yanga SC leo wamekuwa wageni waalikwa katika bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia saa 3:00 asubuhi kushuhudia upitishwaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2020/20.


 Yanga walishuhudia mchakato mzima wa  Bajeti ya Serikali, kiasi cha Shilingi Trilioni 34.88, kwa kupigiwa kura za NDIYO 304 na kura za HAPANA 63.


Yanga SC wapo mkoani Dodoma kujiwinda na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya JKT Tanzania, mchezo huo utapigwa siku ya jumatano katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.



Post a Comment

0 Comments