BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WAENDELEA NA MAZOEZI MAKALI KUIKABILI JKT TANZANIA


Klabu ya Yanga imeendelea na mazoezi makali asubuhi ya leo kujiandakia na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania mchezo utakaopigwa dimba la Jamhuri Dodoma hapo kesho.

Yanga wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa Ligi wakiwa na pointi 56 baada ya kucheza mchezo 28

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa Yanga 



Post a Comment

0 Comments