BETI NASI UTAJIRIKE

WACHEZAJI WATANO KUFANYIWA SUB LIGI KUU ,TFF YATOA SIKU 30 ZA USAJILI ,


Shirikisho la soka nchini TFF limetoa tamko rasmi kuelekea kumalizia mechi za ligi kuu. Taarifa hiyo imevipa ahueni vilabu mbalimbali baada ya kuruhusiwa kufanya mabadiliko kwa wachezaji watano kutoka wtatu hapo awali.

Kwa upande mwingine shirikisho hilo limewataka wachezaji wote ambao mikataba yao ilikwishamalizika tangu tarehe 31 Mei kuendelea kuvitumikia vilabu vyao maka tarehe 31 July. 

Jambo lililoshtua wengi ni mabadiliko ya usajili kwani shirikisho hilo limewataka wamiliki wa vilabu kutumia siku 30 tu za usajili kutoka tarehe 1 August mpaka tarehe 31 August na kuna uwezekano ligi ikarejea mwanzoni kabisa mwa mwezi August.

Hii ndiyo barua ya TFF Post a Comment

0 Comments