Simba wanahitaji mechi nne tu kuweza kutwaa Ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya tatu mfululizo. Kwa sasa kikosi hicho kinajiandaa kuelekea jijini Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ule wa Mbeya City na Prisons kisha kitaelekea mtwara kwa ajili ya kumenyana na Ndanda FC na Namungo FC na kama endapo timu hiyo itashida basi itatangazwa bingwa mpya wa VPL.
Matokeo mechi za jumamosi
Huu hapa msimamo wa Ligi
0 Comments