BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA WAENDELEA NA MAZOEZI ,JONAS MKUDE AZIDI KUWA TISHIOKlabu ya Simba imeendelea kujifua kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ruvu shootin mchezo utakaopigwa dimba la Taifa tarehe 14 Juni . Wachezaji Simba wapo kambini wakijinoa vyema kuelekea mechi 10 zilizobaki ili kumaliza ligi. 

Kiungo mkabaji Jonas Mkude ameendelea kuwa kivutio kwa namna anavyolimiliki dimba la kati na ameonekana kuongezeka kiwango zaidi  tangu ligi hiyo iliposimama mwezi machi na baadae kutangazwa kurejea rasmi kuanzia mwezi Juni 13

Picha wachezaji wakifanya mazoezi

Post a Comment

0 Comments