BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA SC WALIVYOSAFIRI KUELEKEA JIJINI MBEYAWachezaji wa kikosi Cha Simba kimefanikiwa kufika salama mkoani Mbeya baada ya kuondoka jijini dar es salaam alfajiri ya leo. Simba walisafiri kwa shirika la ndege la Air Tanzania kwa ajili ya michezo miwili ya ligi kuu Tanzania bara. Simba itacheza na Mbeya city na Prisons za mkoa huo.

Picha za wachezaji wakiondoka dar es salaam na kuwasili Mbeya.


Post a Comment

0 Comments