"“Naipongeza Timu yetu ya Taifa ya Soka ambayo baada ya takribani miaka 39 kupita hatimaye mwaka jana ilifanikiwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Afrika,nawapongeza wanamichezo mingine waliopeperusha vizuri bendera yetu hususani katika ndondi na riadha”-
0 Comments