BETI NASI UTAJIRIKE

NUGAZ AFUNGUKA SARE YA 0-0 DHIDI YA AZAM ,ATOA AAHIDI HII


Msemaji wa klabu ya Yanga antonio Nugaz amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya timu hiyo kutoka sare dhidi ya Azam FC mchezo uliopigwa jana dimba la taifa jijini Dar es salaam . Nugaz alionekana kuhuzunishwa na sare hiyo aliandika 

Haikuwa bahati yetu leo,Kongole kwa Wachezaji wetu kwa kucheza mpira mzuri wa kuvutia ila tumeshindwa kupata alama tatu,Kikubwa tu ni kwa wapenzi,wanachama na mashabiki kuendelea kuiamini na kuisupport Brand ya @yangasc kwa moyo wote, Insha Allah tukutane jumatano kwenye Mchezo wetu dhidi ya Namungo Fc . 🙏

Post a Comment

0 Comments