BETI NASI UTAJIRIKE

MSEMAJI WA SIMBA MANARA NA MADEE WAMTETEA MCHEZAJI WA YANGA


Msemaji wa klabu ya Simba Haji manara amekerwa na mashabiki wa klabu ya Yanga kwa kitendo cha kumzomea na kumtaka mshambuliaji wa klabu hiyo Yikpe aondoke klabuuni hapo. Kupitia mitandao ya kijamii manara aliandika 

Utopolo fc!!Mmefungwa na kudroo game ngapi bila ya huyo Ykpe?
Huu sio uungwana na inaletesha taswira mbovu kwa soka letu,,ila mjue kitendo hiki kitawaogopesha wachezaji wa maana kuja kwenu,,last week Simba ilidroo na Ruvu na nyie mlitufunga,,mliona upuuzi kama huo wanafanyiwa wachezaji wetu? Miaka yote mitatu ubingwa tunachukua,Yikpe alikuwepo? Huo ni UZUZU,,angalieni mlipojikwaa msimtoe kafara huyu kilo buku.

Msanii Madee Alli ambaye ni shabiki wa Yang akichangia kwa kuandika 

Ndiomaana tunaitwa utopolo kwaajili ya watopolo kama hawa wasiojua kusapot wachezaji hata wanapofikwa na vipindi vigumu..mnadhani uyo mchezaji mpk viongozi wa yanga wanamleta nakumpa mshahara wao wajinga.. hata kwenye maisha yakawaida kuna ups n down...

Post a Comment

0 Comments