BETI NASI UTAJIRIKE

MATOKEO YA MECHI: ATLETICO YASHINDA 5 HUKU DORTMUND ,ARSENAL ZIKICHEZEA VICHAPO


Ligi mbalimbali zimeendelea usiku wa jana kkuanzia EPL,La Liga,na Bundesliga huku kila ligi ikitoa matokeo ya kushangaza .Wakati Atletico anashinda 5-0 dhidi ya Osasuna ,Arsenal alikuwa akipokea kipigo ha 3-0 dhidi ya Manchester City huku Borrusia Dortmund akiubaliki ubingwa wa Bundesliga  kwa Bayern Munich kwa kipigo cha 2-0 dhidi ya Mainz 

Haya hapa ni matokeo ya mechi mbalimbali zilizopigwa jana Post a Comment

0 Comments