Mshambuliaji huyo hatari alifanikiwa kufunga bao la 20 dakika za nyongeza na kumfanya kuwa mchezaji wa kwanza La Liga kufunga mabao 20 kwa misimu 12 mfululizo.
Messi anaedelea kushikilia rekodi yake ya kufunga mabao mengi zaidi ndani ya Barcelona huku akifunga mabao La Liga 439 akiasist mara 185 huku akiwa na jumala ya mabao 628 tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo.
0 Comments