BETI NASI UTAJIRIKE

JESHI LA EYMAEL LIPO TAYARI KUWAANGAMIZA KAGERA SUGAR


Kikosi cha Yanga kipo tayari kwa mchezo wa FA dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo mchezo utakaopigwa saa 1 jioni dimba la Taifa jijini Dar es salaam. Mchezo huo utakuwa wa kiushindani lakii Yanga wanaonekana kuupania haswa. Jana jioni timu hiiyo imeendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo huo.

Balama Mapinduzi ataukosa mchezo huo kutokana na jeraha la mguu, Morrison ataendelea kuitumikia adhabu ya utovu wa nidhamu huku Lamine Moro akiendelea kumalizia adhabu ya kadi nyekundu

Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji Yanga wakijifua 






Post a Comment

0 Comments