BETI NASI UTAJIRIKE

HIZI MECHI KALI ZA LEO BUNDESLIGA LEO JUMANNE TAREHE 16-06-2020


Ligi kuu ujerumani inaendelea hii leo na moja ya mechi inayongojewa kwa hamu ni ile ya Bayern Munich ikikaribishwa na Werder Bremen mchezo utakaopigwa saa tatu na nusu usiku wa leo. Kama bayern munich atashinda mchezo huo basi atatagazwa rasmi kuwa bingwa wa Bundesliga kwa mara ya 9 mfululizo.


Kwa sasa Bayern Munich anaongoza
 akiwa na pointi 73 baada ya kucheza michezo 31 huku anayemfuatia ni Borrusia Dortmund mwenye pointi 66. 

Hizi hapa mechi nyingine zitakazopigwa hii leo

Post a Comment

0 Comments