BETI NASI UTAJIRIKE

MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI ZILIZOCHEZWA JANA USIKU


Ligi za La Liga na Bundesliga zimeendelea na michezo yake mbalimbali ili kumalizia mechi chache zilizosalia . Bayern Munich ameibuka na ushindi wa bao 1 lililompa taji la Bundesliga huku Barcelona ikiendelea kukaa kileleni baada ya kushinda mabo 2-0 dhidi ya Leganes.

Haya hapa matokeo ya mechi za Budesliga hapo jana 
Haya hapa matokeo ya La Liga mechi zilizochezwa jana usiku

Post a Comment

0 Comments