Ligi kuu pendwa duniani inarejea leo hii nchini Uingereza na inarejea kwa kuchezwa mechi mbili .Mchezo kati Aston Villa vs Shiffield na ule wa Manchester City dhidi ya Arsenal. Michezo hi inasubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani na imetabiliwa kuwa ni michezo itakayoweka rekodi ya kutazamwa tangu kurejea kwa ligi mbalimbali.
Mbali na michezo ya EPL lakini pia Ujerumani na Hispania kutakuwa na michezo mikubwa. Hizi hapa ni mechi zitakazopigwa hii leo.
0 Comments