BETI NASI UTAJIRIKE

BAYERN MUNICH IMETWAA BUNDESLIGA KIMAFIA MSIMU WA 2019/20


Klabu ya Bayern Munich imeibuka na Ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya 8 mfululizo. Klabu hiyo yenye makombe 29 ya Bundesliga imeendelea kutikisa nchini Ujerumani kwa kuweka rekodi ya kipekee kwa msimu wa 2019/20. Haya ni baadhi ya mambo ya kimafia yaliyofanywa na Bayern Munich

1. Mechi 

Klabu hii imecheza jumla ya michezo 34 ikishinda michezo 26 sare 4 na kufungwa 4 hivyo kuifanya kufikisha pointi 82 na kufunga mabao 100 huku anayefuatia kwenye msimamo wa ligi(Borrusia Dortmund ) akiwa na pointi 69 tu kwenye mechi 34 walizocheza . Bayern Munich ametwaa ubingwa kwa tofauti ya pointi 13

2. Uwezo wa wachezaji 

Bayern Munich wameshika kila eneo.Mshambuliaji Lewandowski amefunga mabao 34 kwenye michezo 31 aliyocheza kwa lugha nyingine unaweza sema anawastani wa kufunga kila mechi ya Bundesliga Mbali na hilo Lewandowski ameogoza kwa kupiga mashuti akifanya hivyo mara 140. Thomas Muller anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi za mabao akifanya hivyo mara 21.

ITAENDELEA


Post a Comment

0 Comments