BETI NASI UTAJIRIKE

ATUPELE GREEN APIGA HAT TRICK KMC IKIPIGWA 4G, MAMILIONI YAMWAGWAKlabu ya KMC imeambulia kipigo cha 4-0 kutokwa kwa Biashara ya mkoani Mara.Mshambuliaji Atupele Green Jackson akipiga hat trck kwa mabao yake ya dakika za 68, 72 na 90 na ushei, baada ya Justine Omary kufunga la kwanza dakika ya 36.

Nahodha wa timu ya Biashara United Mara Abdulmajid Mangalo akipokea fedha kiasi cha shilingi milioni 1.4 kutoka kwa uongozi wa timu hiyo.

Katika fedha hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya udhamini ametoa shilingi laki nne huku uongozi wa timu hiyo ukitoa shilingi milioni moja baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya KMC kutoka jijini Dar es Salaam.
Bao la dakika ya 80 la kiungo Pius Buswita likainusuru Polisi Tanzania kulala mbele ya Alliance FC iliyotangulia kwa bao la Martine Kiggi dakika ya 51 timu hizo zikitoka sare 1-1 Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.


Haya hapa matokeo ya Tanzania Premier League


Post a Comment

0 Comments