advertise with us

ADVERTISE HERE

WWE: RANDY ORTON AONYESHA NDEGE MPYA ALIYONUNUA


Bingwa mara tisa wa  WWE CHAMPIONSHIP Randy Orton amefanikiwa kuongeza mkataba mpya wa miaka mitano na kununua ndege . Mchezaji huyo mwenye miaka 40 amesaini mkataba wa miaka 5 wenye thamani ya $4.1m kwa mwaka 

kupitia mtandao wa instagram Randy Orton aliandika "f**ed around and bought a plane"  aliweka caption hiyo iliyoambatana na picha akiwa ndani ya ndege hiyo.


Post a Comment

0 Comments