Mashabiki wa RB wanazidi kuwa na furaha kutokana na umahiri wa mshambuliaji wao Timo Werner . Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mainz hapo Jana klabu hiyo ilirejea nafasi 3 kwa kuwa na pointi 54 nyuma ya Bayern Munich na Borrusia Dortmund.
Mechi dhidi ya Mainz ilipigwa dimba la Opel Arena na RB Leipzig ikiibuka na ushindi wa mabao 5-0 mabao yaliyowekwa na Timo Werner dakika ya 11,48 na 75 huku mchezaji mwenye asili ya Tanzania Ila anaichezea Denmark Yussuf Poulsen akifunga dakika ya 23 na Marcel Sabitzer akifunga dakika ya 36
Haya hapa ni matokeo ya mechi za wikiendi
Huu hapa msimamo wa Bundesliga
0 Comments