BETI NASI UTAJIRIKE

MCHAMBUZI AMOS MEDECK KUICHAMBUA MECHI YA DORTMUND VS BAYERN MUNICH KUPITIA LEMUTUZMchambuzi wa blogu ya AMOSPOTI.COM  bwana Amos Medeck leo atauchambua mchezo wa German Classic kati ya Borrusia Dortmund vs Bayern Munich utakaopigwa saa moja na nusu jioni. 

Borrusia Dortmund wataikaribisha Bayern Munich dimba Signal Iduna Park mara ya mwisho Dortmund alipigwa mabao 4-0 Bayern Munich dimba la Allianz Arena je upo tayari kwa mchezo huu hapo baadaye ?

Tembelea www.lemutuz.co.tz na lemutuz online TV huko YouTube uweze kupata uchambuzi wa mtanange huo. 

Post a Comment

0 Comments