BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOPIGWA BUNDESLIGA


Ligi kuu Ujerumani "Bundesliga "imeendelea hapo jana kwa mechi mbili kuchezwa . Bayern munich wameendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Union Berlin mabao yakifugwa na Robert Lewandowski kwa mkwaju wa Penati dakika ya 40 na Benjamin Pavard dakika ya 80. 

Mchezo mwingine ni ule wa FC Koln dhidi  ya Mainz uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 . Matokeo hayo yanawafanya Bayern Munich wazidi kuongoza ligi kwa tofauti ya point 4 dhidi ya Dortmund. 

Haya hapa matokeo ya Bundesliga kwa mechi zote zilizopigwa wikiendi hii 
Raundi ya 26
Huu hapa  msimamo wa Bundesliga Raundi ya 26


Post a Comment

0 Comments