BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA NA TFF ZAUNGANA PAMOJA NA SIMBA KUOMBOLEZA MSIBA WA MBITTA


Uongozi wa Yanga pamoja na ule wa TFF umeungana pamoja  na klabu ya Simba kuomboleza msiba wa mwanachama na mjumbe wa kamati ya Uchaguzi Simba bwana Idd Mbita aliyefariki leo asubuhi katika hospitali ya taifa mloganzila.

hili ni pigo kwa wanamichezo Tanzania baada ya kumpoteza mtu mashughuli katika soka letu. Hizi ni jumbe za Yanga na TFF walizotuma siku ya leo


Post a Comment

0 Comments