BETI NASI UTAJIRIKE

KWA VIINGILIO HIVI UNAKOSAJE KWENDA KUANGALIA YANGA VS SIMBA?


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa  Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga na  Simba utakaochezwa Machi 8, mwaka huu.


Viingilio vya mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa majira ya saa 11 VIP A shilingi 30,000 VIP B na  C shilingi 15,000 20,000,Viti vya rangi ya Machungwa ni 10,000 Bluu na Kijani shilingi 7,000.

Tiketi zinapatika katika vituo TCC Club, Imasco/PR,Uwanja wa sabasaba na barabara ya kilwa na Jitegemee kupitia Selcom.Hata hivyo shirikisho limewataka watu kuwahi kununua tiketi  mapema kwa kupitia kadi ya Selcom ambayo inakupa urahisi wa kununua tiketi yako.Hata hivyo kadi za Selcom zinapatikana kwa mawakala waliopo sehemu mbalimbali nchini.

Post a Comment

0 Comments