BETI NASI UTAJIRIKE

TETESI ZA SOKA DUNIANI LEO IJUMAA TAREHE 20-03-2020

Manchester United imeomba kusaini mkataba na mshambuliaji Mbrazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, kutoka Barcelona. (Mundo Deportivo)
United watakubali kutoa pauni milioni £100 kwa ajli ya kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27. Real Madrid na Juventus wote wanamtaka. (Sun)
Chelsea wanataka Mgabon Pierre-Emerick Aubameyang Arsenal's Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30. (90min)

Manchester United watakubali kutoa pauni milioni 100 ili waendelee kubaki na Paul PogbaHaki miliki ya picha

Atletico Madrid wanaangalia uwezekano wa kuongeza mkataba wa kiungo wakati Mghana Thomas Partey, mwenye umri wa miaka 26, hadi mwaka 2025 na kufuta kipengele cha mkataba wake cha Euro milioni 100 million (£92m) huku timu za Arsenal na Manchester United zikimtaka. (Goal)
Kiungo wa kati wa Bosnia Miralem Pjanic, mwenye umri wa miaka 29, anaweza kuondoka Juventus msimu huu, huku Manchester City na Chelsea wakimtaka. (Corriere dello Sport via Sport Witness)

Atletico Madrid inaangalia uwezekano wa kuendelea kuwa na Mghana Thomas Partey kikosini huku timu maarufu za England zikimtakaHaki miliki ya pichan

Mshambuji wa Chelsea na Brazil Willian, mwenye umri wa miaka 31, anasema kuwa ataendelea kuichezea klabu katika kipindi chote kilichosalia cha msimu, hata kama utamalizika baada ya mkataba wa sasa. (Star)
Mbrazil anayecheza safu ya ulinzi katika blabu ya Lille nchini Ufaransa Gabriel Magalhaes,mwenye umri wa miaka 22, yuko katika orodha ya Everton uhamnisho ya msimu.(Liverpool Echo)
Mlindalango wa Italy Gianluigi Donnarumma, mwneye umri wa miaka 21, ataondoka AC Milan na kuhamia katka klanu ya Ufaransa ya Paris St-Germain au Primia Ligi. (Gazzetta dello Sport - in Italian)

Willian anasema ataendelea kubakia Chelsea kwa kipindi kilichosalia cha msimu hata kamakitapitiliza zaidi ya mwaka huuHaki miliki ya picha

Inter Milan waliwambia Barcelona wanachotaka ni pesa tu katika mkataba kwa ajili ya mshambuliaji Lautaro Martinez, 22. (Sport - in Spanish)
Difenda wa Austria David Alaba, mwenye umri wa miaka 27, anaangalia uwezekano wa kuondoka katika Bayern Munich huku Real Madrid na Barcelona wote wakimtaka. (Sport Bild - in German)
Manchester United wanaangalia uwezekano wa kumleta kikosini mshambuliaji wa zamani Eric Cantona, mwenye umri wa miaka 53 kuchukua cheo cha balozi. (Mirror)

Manchester City, Juventus na Paris St-Germain wote wameonyesha nia ya kusaini mkataba na kiungo wa kati Mfaransa Houssem AouarHaki miliki ya picha 

West Ham wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya kimchezo ya difenda Muingereza Dion Sanderson, ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo katika Cardiff kutoka Wolves. (Daily Mail)
Chelsea wamezungumza na Barcelona kuhusu uwezekano wa kusaini mkataba na kiungo wa kati Mbrazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, kwa mkopo msimu ujao. (Sport, in Spanish)

West Ham wanamfuatilia kwa karibu Dion Sanderson

Inter Milan wako tayari kumpa mkataba wa mwaka mmoja zaidi Muingereza Ashley Young, mwenye umri wa miaka 34, baada ya kuwafurahisha kimchezo tangu alipohamia kikosini mwezi Januari kutoka Manchester United. (Gazzetta dello Sport, in Italian)

Post a Comment

0 Comments