BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA: TULETEENI HAO AZAM NA YANGA


Baada ya Luis Miquissone kufanya yake hapo jana na kuihakikishia Simba ushindi wa mabao 2-0, keshokutwa March 04 2020, vinara hao wa ligi kuu wataendelea na kampeni kuusaka ubingwa wa tatu mfululizo watakapowakabili Azam Fc
Ni mchezo ambao Simba inahitaji matokeo ya ushindi ili kuharakisha ubingwa
Lakini pia ushindi utaweka juu morali ya wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa March 08
Mabingwa hao wa nchi hawana muda wa kupoteza kwani leo wanaendelea kujifua kujiandaa na mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Post a Comment

0 Comments