Mchambuzi anayechipukia kwenye soka bw. Amos Medeck maarufu kama "AMOSPOTI" ametangaza rasmi kuchambua soka kwenye kituo cha Lemutuz online Tv.
Bw.AMOSPOTI amekuwa akichambua soka kupitia website ya www.amospoti.com na sasa ametangaza rasmi kushirikiana na Lemutuz online Tv .
mtaalamu huyo wa soka amejipanga kufanya uchambuzi yakinifu kuelekea mechi ya watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga itakayochezwa tarehe 03 Machi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
0 Comments